Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu
wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika
ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini
Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka
wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG)
uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference
Centre JNICC jijini Dar es Salaam leo. Walioketi meza kuu kutoka kulia
ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius
Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na
Bi.Dorothy Mwanyika.