RAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongoza Kikao cha kawaida cha Baraza la
Mawaziri leo Jumapili Machi 15, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia
kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.PICHA NA IKULU.