MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Mar 13, 2015

TAARIFA YA MSIBA WA MZEE OMARY SULTAN MATATA WA DAR ES SALAAM

Mzee Sultan Omary Matata enzi za uhai wake

Mzee Sultan omary Matata enzi za uhai wake akiwa na familia yake walipopiga picha ya pamoja jiji dar es slaam

TAARIFA YA MSIBA WA MZEE OMARY SULAN MATATA
Taarifa zilizotufikia kwa mujibu wa kijana wake mpendwa bwana Maja matata amethibitisha kutokea kwa msiba wa baba yake mpendwa aliye julikana kwa jina la Omary Sultan Matata mkazi wa mtoni kichangani dar es salaam siku ya taraehe 12.03.2015  mazishi yatafanyika Tarehe 13.03.2014  kijijini kwake MKIU mkoa wa  PWANI . mazishi yatafanyika baada ya sala ya Ijumaa. 
Msiba huo upo nyumbani kwa marehemu Mtoni kichangani tunawaomba ndugu jamaana na  marafiki kuhudhuria katika kumuaga mzee wetu mpendwa Omary Sultan Matata 

kwa TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA BWANA MAJA MATATA KWA NAMBA ZAIFUATAZO
Director Maja Matata ---0656383413

R.I.P 

OMARY SULTAN MATATA