Ni mwaka mmoja sasa umetimia tangu wasichana
zaidi ya mia mbili walipotekwa nyara na kundi la Boko Haram la nchini
Nigeria. Wasichana hao walitekwa nyara tarehe na mwezi kama wa leo mwaka
wa jana kutoka katika shule yao ya Chibokiliyoko katika jimbo la Borno.