Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa tatu kulia akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali
katika kumswalia aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi
Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri
katika Msikiti wa Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja kabla ya mazishi
yake leo.
Baadhi
ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la
aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya
Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini
kwao Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sherif na Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) wakiwa na Viongozi
wengine na Wananchi katika mazishi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar
Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini kwao Kidombo Wilaya ya Kaskazini
A Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati)akitia udongo kufukia kaburi la aliyekuwa Katibu Mkuu
Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar
Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri aliyezikwa leo kijijini kwao Kidombo
Wilaya ya Kaskazini A Unguja.(Picha na Ikulu.)