- STEVE KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA ROSE NDAUKA
Kama
wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia
Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada ya Kufariki STEVEN
KANUMBA
Rose
Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana
Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii
wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake
Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna
Hatu Nyingine ambayo Wasanii wa Filamu Tanzania Wamepiga Zaidi ni
Kuporomoka kwa Kiwanda cha Bongo Movie TZ.
Hta
hivyo Rose ambaye yuko kwenye Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania kuanzia
Mwaka 2007 Amesema Wao Kama Wasanii kwa sasa wanatakiwa kushikamana na
kufanya Mabadiliko ili Kuendeleza Kile alichokuwa anakifanya ambacho
ilikuwa Kuhakikisha Sanaa ya Tanzania Inajulikana Kimataifa Zaidi.
Cha
mwisho amewataka Watanzania na Wadau wao Kuendelea Kuwashika Mkono kwa
kuwapa Support Japo pia ainawezekana kuna Wakati wamewadissapoint.
SIKILIZA FULL INTERVIEW YA ROSE NDAUKA click link HII ---> https://www.hulkshare. com/rs95o5svm48w
Steven
Charles Kanumba alizaliwa Tarehe 8 Januari 1984, Shinyanga na Kufariki
Tarehe 7 Aprili 2012) alikuwa msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini
Tanzania. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Tanzania, Kanumba
ndiye aliyekuwa msanii wa kwanza nchini kufanya kazi nje ya nchi na
kuweza kuwavuta wageni kutoka nchi mbalimbali kuja kuigiza Tanzania.
Hasa walikuwa Wanigeria kama vile Mercy Johnson, Emmanuel France, Nkiru
Silvanus, Ramsey Nouah, na wengine wengi tu. Kanumba pia ameweza
kuwaleta waongozaji filamu kadhaa was Kinigeria nchini
na michuzi media group