MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

May 30, 2015

BLATTER ASHINDA TENA URAIS WA FIFA

Sepp Blatter baada ya ushindi.
Blatter akiwa na mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan.
SEPP Blatter ameshinda tena Urais wa FIFA kwa awamu ya tano baada ya kumshinda mpinzani wake Prince Ali bin al-Hussein wa Jordan.
Blatter amepata kura 133 dhidi ya 73 za mpinzani wake huyo katika raundi ya kwanza ya kinyang'anyiro hicho kilichofanyika nchini Uswizi jana licha ya kukumbwa na skendo za ufisadi.