Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Watanzania wanaoishi
Nchini Nigeria katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria leo May
29,2015.
Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Mhe.
Danniel Ole Njolai akimkabidhi zawadi ya saa iliyotolewa na Watanzania
wanaoishi Nchini Nigeria Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kuzungumza na Watanzania hao katika Ofisi
ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria leo May 29,2015.
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Nchini
Nigeria wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokua akizungumza nao leo May 29,2015 katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja
Nigeria leo May 30,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, katikati akiwa katika picha ya pamoja
na Watanzania wanaoishi Nchini Nigeria
Baada ya kuzungumza nao katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania mjini Abuja Nigeria
leo May 29,2015. (Picha na OMR).