May 31, 2015
MNUNULIE MWANAO CD/DVD YA UBONGO KDS AJIFUNZE HESABU KWA HARAKA
CD NA DVD za ubongo kids sasa zinapatikana mikoani kote Tanzania waweza kuzipata muda wowote ukizihitaji kutoka kwa wakala wanaosambaza kwani mfumo huu wa cd/dvd unamsaidia mtoto kujifunza hisabati akiwa nyumbani kwa kutumia computer au tv muda wowote akijisikia kufanya hesabu zake hivyo mjengee mwanao uwezo wa kujifunza hisabati na UBONGO KIDS wasiliana na wauzaji wetu walipo mkoani mwanza kwa namba zifuatazo----0754 710 834 au Tazama kipindi cha ubongo kids kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1