ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa Chama CCM wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wakati alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo.Maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi Kisiwani Pemba yakiingia katika uwanja wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake leo wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani na kupokelewa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi kisiwani Pemba wakati akilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi kisiwani Pemba wakati wa Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba.
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakati
wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba.Wafanyakazi wa ZSTC Pemba wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheinalipokuwa akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakati
wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba.Viongozi
mbali mbali na wafanyakazi wakiwa katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo
Wawi Pemba wakati wa sherehe za Siku ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) pamopja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu
wakati wakiimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati
wa kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo
Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba.Viongozi na Wafanyakazi Mbali mbali wakishikamana kunyanyua mikono juu wakiimba kwa pamoja na kuimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati wa kusherehekea Siku yaWafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba.