Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akisisitiza jambo
wakati alipozungumza na Wakuu wa sekta mbalimbali mkoani Tabora leo kuhusiana
na masuala yanayohusu sekta ya ardhi mkoani humo katika ukumbni wa mikutano wa
Isike. Kulia ni mkuu wa Wilaya ya Tabora Mh Suleiman Kumchaya na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora
Bi Kudra Mwinyimvua.
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akizungumza na
Wananchi wa Eneo la Malabi katika Manispaa ya Tabora, kuhusiana na mgogoro wa
Ardhi unaowakabili wananchi hao ambao unaotokana na Manisapaa kutowalipa fidia
ya maeneo yao.
Mkuu
wa Wilaya ya Tabora Mh Suleiman Kumchaya akijadiliana jambo wakati Waziri wa
Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvu alipotembelea eneo la
Malabi katika Manispaa ya Tabora kusikiliza matatizo ya Ardhi yanayo wakabili
wananchi wa eneo hilo leo.
Picha/Clarence Nanyaro