MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Jul 7, 2015

BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA ILALA LAVUNJWA

 Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza katika mkutano wa madiwani wa manispaa ya Ilala uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
 Madiwani wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika baraza la kuvunja baraza lao jana katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya viongozi wa dini ya Kikiristo na Dini ya Kiislam wakifuatilia mkutano wa kuvunjwa kwa baraza la madiwani wa Manispaa ya ilala katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
 Diwani wa Jimbo la Segerea wa Chama  CHADEMA, Azurly Mwambagi akizungumza katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilala katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
Diwani wa Jimbo la Jangwani wa chama cha CCM, Abuu Jumaa akizungumza katika mkutano wa kuvujwa kwa baraza la Madiwani wa Manispaa ya Ilala katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Anartogolo jijini Dar es Salaam jana.
 
chanzo JIACHIE