Producer kutoka studio za rock town records zilizopo jijini mwanza. Ajulikanaye kama MKUBWA HAMIDU ameonyesha kipaji chake cha uchorraji mabli na sanaa zingine anazofanya bwana hamidu amekuwa machinga wa tasania mabili mbali hapa Tanznaia pia amekuwa mstari wa mbele kuweza kuwasaidia wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania pia mkubwa hamidu ameisha shuduia tuzo kibao za kili music awards zilizotoka kwa wasanii chipukizi na wasanii wakubwa waliokwisha fanya records katikia studio za rock town records. mkubwa hamidu ni kijana mwenye nia nzuri na mwenye busara katika jamii ya watu wote wanaomzunguka kwan hana mkuu na watu. Producer huyu sasa anakuja na project nyingine yenye manufaa zaidi kwa wasanii wote watakaokuwa tayari lakini akishirikiana na wadau wa sanaa hapa nchini wakiwemo akina Babu Wambura,Ze-Make videoz na wengine waliojitokeza kaa mkao wa kuipokea Suprise hiyo kutoka kwa mkubwa hamidu
ROCK TOWN RECORD - JIJINI MWANZA NDIO MPANGO MZIMA