Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi wa CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza Samia Salum leo .
Msafara wa Magufuli ukipita kwenye makutano ya baabara ya Morogoro na Bibi Titi
Wananchi
akipunga mkono kufuarhia msafara wa Dk. John Magufuli wakati ukipita
kwenye baabara ya Bibi Titi Mohammed, mgombea huyo akienda kuchuua fomu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Mgombea
mteue wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli akiigia Ofisi za
Tume ya Taifa ya Uchaguzi huku akisindikizwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana
Mgombea
Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli akisaini fomu maalum, baada ya
kuingia Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kuomba
kugombea urais. Kulia ni Mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan
Dk. Magufuli akisaini fomu maalum
Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini fomu hizo maalum
Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan akitia saini fomu hizo maalum
Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimpatia maelezo muhimu, Dk. Magufuli kabla ya kumkabidhi
Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimpatia maelezo muhimu, Dk. Magufuli kabla ya kumkabidhi
Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimpatia maelezo muhimu, Dk. Magufuli kabla ya kumkabidhi
Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimkabidhi Dk.
Magufuli mkoba wenye fomu zote za kuomba urais. Huku Mgombea Mwenza
Samia Suluhu Hassani na Katibu wa CCM, Abdlrahman Kinana wakishuhudia
kwa makini
Ofisa
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Adam Nyando akimkabidhi Dk. Magufuli
mkoba wenye fomu zote za kuomba urais. Huku Mgombea Mwenza Samia Suluhu
Hassani akishuhudia kwa makini
Dk. Magufuli na mgombea mwenza wake Samia Suluhu Hassan wakionyesha mkoba wenye fomu zao, nje Ofisi ya Tume
Maelfu ya wananchi wakimsindikiza Dk. Magufuli kurejea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, baada ya kuchukua fomu
Maelfu ya wananchi wakimsindikiza Dk. Magufuli kurejea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, baada ya kuchukua fomu
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihamasisha umati wa wananchi
waliokuwa wamefurika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba,
wakimsubiri kumpokea Dk. Magufuli akirejea kwenye Ofisi hiyo baada ya
kuchukua fomu NEC.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete, ili amkaribishe jukwaani, kuonyesha fomu zake, mgobea
Mteule wa Urais wa tiketi ya CCM, Dk. John Maguli, kwenye Ofisi ya CCM
Lumumba
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na umati wa wananchi kabla ya
kumkaribisha Dk. Magufuli kuzungumza na wananchi baada ya kurejea na
fomu zake, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
"Fomu ndiyo hizi", Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsaidia
Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli kuonyesha
fomu za kuwania Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi, alizowasili nazo
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Mgombea
mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akizungumza na
wananchi kwenye viwanja vya Ofisi Ndgo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea na fomu yake ya kuwania
Urais
Mgombea
mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akizungumza na
wananchi kwenye viwanja vya Ofisi Ndgo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, baada ya kurejea na fomu yake ya kuwania
Urais
Mgombea
mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, akiserebuka
kidogo muziki wa TOT baada ya kuzungumza na umati wa wananchi kwenye
viwanja vya Ofisi Ndgo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar
es Salaam, baada ya kurejea na fomu yake ya kuwania Urais
Dk. Magufuli akiwashukuru wananchi kwa mapokezi waliyopmpa
Kisha akawaanga kabla ya Rais Kikwete kuja kumchukua jukwaani
Rais
Kikwete, Naye akajiunga kucheza muziki kidoogo wa TOT kabla ya
kuwashusha jukwaani Dk. Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassani
Dk. Magufuli akiwaaga wananchi baada ya kumalizika mkutano huo wa mapokezi yake
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwaanga wananchi baada ya mapokezi hayo
ya Dk. Magufuli, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba.
>HALI ILIVYOKUWA KWENYE OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM LUMUMBA KABLA YA DK. MAGUFULI KWENDA KUCHUKUA FOMU
Kikundi
cha Tanzania One Theatre, kikitumbuiza, mbele ya Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, wakati akisubiriwa Dk.
Magufuli na mgombea mweza wake kuwasili kwenye Ofisi hiyo kabla ya
kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu leo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ambaye pia ni Mkumbe wa NEC, Uchumi na Fedha Mama Zakia
Meghji akiongoza baadhi ya wana CCM kuserebuka wimbo wa TOT
"Hapa
tumejipanga hadi wapinzani waisome namba" Kinana akimwambia Naibu
Katibu Mkuu wake, Rajabu Luhavi wakati akisubiwa Dk. Magufuli kufika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha mgombea mwenza Samia Suhulu Hassan, baada ya kuwasili
Katibu
wa NEC, Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimiana na
mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassa baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM. Dk. Asha-Rose ni miongoni mwa waomba kuwania Urais kwa
tiketi ya CCM ambaye alifanikiwa kuingia tatu bora katika mchakato wa
kumpata mgombea wa CCM uliomuibua Dk. Magufuli
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifurahia jambo na Meya wa
Manispaa ya Ilala Jerry Silaa, wakati akisubiwa Dk. Magufuli kufika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Baadhi ya viongozi na wana CCM na Makada wa CCM wakimsubiri Dk. Magufuli
Msafara wa mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli ukiwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Dk. Magufuli akisalimia umati wa wananchi baada ya kuwasili Ofisi ya CCM, Lumumba
Wananchi wakimpungia mikono Dk. Magufuli baada ya kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Katibu
wa NEC, Oganaizesheni CCM, Muhammed Seif Khatib akimlaki Mgombea Mteule
wa Urais wa CCM, Dk. Magufuli baada ya kuingia chumba cha mapumziko kwa
muda, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Dk.
Magufuli akimsalimia Dk. Fenela Mkangara baada ya kuwasili chumba cha
mapumziko kwa muda katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Dk. Magufuli akimsalimia Dk. Didas Masaburi
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Dk. Magufuli katika chumba cha mapumziko kwa muda
Dk. Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM
Dk. Magufuli akiteta jambo na Dk. Asha-Rose Migiro
Baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwa katika chumba cha mapumziko ya muda baada ya kuwasili Dk. Magufuli
Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza na Dk. Asha-Rose Migiro na Muhammed Seif Khatib
Dk.
Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa UWT, Sohia Simba. Kulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiteta jambo na Dk. Magufuli
Nape akipata ushauri kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akisalimia na Silaa. Kulia ni Dk Hussein Mwinyi
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimsalimia mgombea mwenza
Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali akimsalimia Dk. Magufuli
Dk. Magufui akimsikiliza kwa makini wakati Madabida akimweleza jambo
Dk. Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Ilala Mussa Zungu
Dk Asha Rose Migiro akiteta jambo na Sophia Simba na Amina Makilagi
Dk Magufuli akisalimiana na Abbas Mtemvu
Dk. Magufuli akitoka chumba cha mapumziko ya muda tayari kwa safari ya kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuanza safari
Dk. Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuanza safari
Mgombea
mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na mgombea mwenza
wake wakiwa katika gari la wazi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, kwenda Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Picha zote na Bashir Nkoromo