Mkurugenzi wa Uchaguzi
aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa
kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akiongea na Mkurugenzi wa Uchaguzi
mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi
aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa
kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akimsikiliza Mkurugenzi wa
Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi
aliyemaliza muda wake, Jaji Julius Mallaba (kushoto), ambaye ameteuliwa
kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania akikabidhi nyaraka za Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi mpya, Kailima Kombwey
mapema leo wakati akikabidhi ofisi ya NEC jijini Dar es Salaam.