Wanachama wakimsikiliza kiongozi wao Mkuu.
Wanachama wakimsikiliza Kionozi wao Mkuu kwa umakini mkubwa.
Katibu
Kata Urambo Kati, Mkulila Shabani akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu
wa chama na Viongozi wa Matawi ya jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya
ya Urambo
Mwenyeti
Kata ya Kiloleni Tarafa ya Usoke, Wilaya ya Urambo Kati, Juma Kamagi
akizungumza mbelea ya kiongozi Mkuu wa chama na Viongozi wa Matawi ya
jimbo la Urambo Mkoa wa Tabora wilaya ya Urambo.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ATC Wazalendo Zitto Kabwe akiongea na Viongozi wa Matawi ya jimbo hayo.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)