Chege amezitaja changamoto zinazowakuta wasanii wanapoamua kwenda kimataifa.Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa changamoto moja ni kuwa msanii anapoamua kufanya muziki wa kimataifa haitakiwi tena kuwa msanii local.
“Changamoto kubwa unapoamua kwenye international kurudi nyuma haiwezekani kwahiyo unatakiwa uwekeze mzigo wa kutosha. Kwa sababu unapoamua kwenda international huwezi kurudi tena kufanya local,” amesema Chege.
Chege amedai kuwa hivi karibunu ataachia kazi zake alizofanya Afrika Kusini na Kenya
credit: Bongo5