Mshiriki wa kwetu House msimu wa pili akiimba kwa hisia kali kuonyesha uwezo wa kipaji chake
Washiriki 20 wa Kwetu House 2015 "Vipaji na Soka" wanaendelea kuchuana vikali, huku wakiendelea kutambiana na kujiamini, Wiki ya Pili Washiriki walipata nafasi ya kuonyesha Vipaji na kufanya kazi kwenye makundi waliopangiwa. Makundi wa manne walipata nafasi ya kuonyesha kile walishoanda.
Ndani ya Wiki hii pia washiriki walipata nafasi moja moja kuonyesha Kipaji chake Mbele wa washiriki wengine na Kochi na kupata Alama zaidi zitakazo wamezesha kuendelea kukaa kwenye nyumba.
Msimu huu wa Pili wa Kwetu House 2015 Milioni 15 kushindaniwa.
imeandaliwa na KWETU HOUSE MSIMU WA PILI 2015