Kuna mkanda wa ngono wa Lil Wayne unaouzwa mtaani na Lil Wayne ametishia kumpeleka mahakamani yoyote atakayeusambaza.Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, mtu anayedaiwa kuwa na mkanda huo
unaomuonesha Weezy akila uroda na wawili anataka kuuza kwa makampuni ya
porn.
Wawakilishi wa Wayne wameuambia mtandao wa TMZ kuwa mkanda huo kweli
upo lakini ulichukuliwa bila Weezy kuwa na taarifa na watachukua hatua
za kisheria.