Mgombea
Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa
kupiga kura huko kijijini kwake Chato mkoani Geita leo
Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipiga kura yake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Joseph Magufuli akikunja
vizuri karatasi baada ya kupiga kura yake jimboni kwake Chato mapema
leo asubuhi Oktoba 25, 2015.
Dk. John Pombe Joseph Magufuli akiweka karatasi kwenye sanduku