MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 7, 2015

Breaking News: Rais Magufuli amfuta kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi

urlKatibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na wanahabari (Picha na Maktaba).
Rais Dk. John Pombe Magufuli leo ameendelea na oparesheni yake ya ‘Kutumbua Majipu’ baada ya kuvunja Bodi ya Bandari (TPA) na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini Bw. Awadhi Masawe.
1 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Bw. Awadhi Massawe.
Pia rais amemfukuza kazi Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Dkt Shabani Mwinjaka na maofisa wengine nane wa Mamlaka ya Bandari na kuwagiza polisi wawakamate wote na kuwaweka chini ya ulinzi.
Massawe aliteulia na Waziri wa Uchukuzi Msitaafu, Samwel Sitta kushikila nafasi ya Mhandisi Madeni Kipande aliyesimamishwa kwa tuhuma za utendaji mbovu ili kupisha uchunguzi