Mgeni
rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti
wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla iliyofanyika kwemye mkutano
mkuu wa TAHOSSA jijini Mwanza.
Mgeni
rasmi akiwaonyesha wakuu wa shule nchini (hawapo pichani) kamusi kuu ya
kiswahili aliyoizindua, kushoto ni muhariri mkuu wa kamusi hiyo James
Mwilaria
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Masesa Mulongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Longhorn Publishers Ltd.
Meneja mauzo na msimamizi wa matangazo wa Longhorn Publishers Ltd Deisy Rono akimuonesha mgeni rasmi baadhi ya machaisho yao.
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikagua moja ya kitabu cha civics
kilichochapishwa na Longhorn Publishers Ltd mara baada ya
kutembelea banda lao.
kutembelea banda lao.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza akipokea zawadi ya baadhi ya machapisho kutoka kwa mwakilishi wa Longhorn Publishers Limited.
Mgeni
rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo katika picha ya pamoja na
wawakilishi kutoka BAKITA, Longhorn Publishers na TAHOSSA.