MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 1, 2015

NMB FAMILY DAY YAFUNIKA JIJINI MWANZA KATIKA KUTIMIZA MIAKA KUMI ( 10 ) YA UTENDAJI KAZI

 watoto wa familia za wafanyakazi wa bank ya NMB jijini mwanza wakifurahia siku ya family day iliyofanyika jijini mwanza 

Wafanyakazi wa bank ya NMB wakiwa katika tabasamu zito wakifurahia sherehe hizo za nmb family day iliyofanyika jijini mwanza
michezo ikienelea
 watoto wakijiachia katika sehemu za michezo ya kuchea watoto


 wanafamilia wakiwa katika foleni ya kupata supu mida ya asubuhi
 Meneja wa kanda ya ziwa bank ya NMB (Zonal Manager ) akiwa katka pozi wakati wa sherehe za kuazimisha miaka 10 ya NMB bank zilizofanyika viwanja vya beach jijini mwanza (Picha na Babu Wambura)

 mtoto akiwa katika pozi na michoro ya kisanaa usoni
 wanafamilia wakiwa katika mazungumzo na furaha
 wafanyakazi wa bank ya NMB mwanza 

 mtangazaji wa kituo cha televisheni StarTv bwana Bernard James akiwa katika pozi 

 mfanyakazi wa bank ya NMB akiwa katika idara ya vinywaji akihakikisha kila mmoja amepata kinywaji na kuridhika na huduma hiyo ya idara husika.
 
 meneja wa kanda ya ziwa inayounganisha mabenk yote ya NMB kanda ya ziwa akizungumza na wanafamilia na wafanyakazi wote wa NMB bank waliokusanyika katika viwanja vya beach jijini mwanza 

 dogo akiwa amejiachia kisoka zaidi na saoda baridi kwa pembeni
 wafanyakazi wa bank ya NMB mwanza