MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 9, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AFANYA USAFI JIJINI DAR ES SALAAM

 HAPA KAZI TU ya  Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli  ikiendelea kufanyiwa kazi kama Rais  huyo akionekana katika picha akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli,wakishiriki kufanya usafi leo ndani na nje viunga vya Ikulu ikiwemo pia soko la Samaki Feri,ambako alipata wasaa kuwasikiliza wachuuzi wa samaki na wavuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiokota taka taka katika eneo la ufukwe wa ferry akiwa sambamba na mkewe Mama Janeth Magufuli jijini Dar es Salaam.