MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Jan 5, 2016

Benitez atimuliwa Madrid… Mikoba yake akabidhiwa Zidane

zizuSafari ya Real Madrid na kocha Rafa Benitez imefikia ukingoni baada ya kutimuliwa leo.
Gwiji la timu hiyo, Zinedine Zidane amepewa jukumu la kukinoa kikosi cha Madrid na ndiyo anakuwa mocha mkuu.
Real Madrid imemtimua Benitez baada ya miezi sita tu  na ikiwa ni siku moja tu baada ya sale ya mabao 2-2 dhidi ya  Valencia inayonolewa na Kocha Gary Neville ambaye ni nyota wa zamani wa Man United