Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwarudishia wananchi shamba la
Hekta 1,870 kutoka kwa Muwekezaji wa kampuni ya Export Trading Company
kijiji cha Kapunga Wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya. Kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Abasi Kandoro na Katikati ni Muwekezaji Mahesh Patel.
Wananchi wa Kapunga wakiwa katika
mkutano ulioitishwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe. William Lukuvi wakati wa kuwatangazia urejeshwaji wa Hekta 1,870
kutoka kwa Muwekezaji.
Shamba la kapunga lililokuwa na
Mgogoro wa zaidi ya Miaka kumi ambalo kwa sasa limerudishwa kwa wananchi
kutoka kwa Muwekezaji.Picha na Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya
Ardhi.