MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Jan 8, 2016

Shilole: Tatizo nyota ndiyo maana nagandwa

shiloleStaa wa fi lamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’.
NA HAMIDA HASSAN
STAA wa fi lamu za Kibongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’m ameibuka na kusema kuwa nyota yake iko juu ndiyo maana anagandwa sana wanaume.
Shilole aliyasema hayo kufuatia kuwepo kwa madai kuwa, baada ya kuachana na Nuh Mziwanda kuna kibosile mmoja kutoka Nigeria ametua kwa ajili ya penzi lake lakini amekuwa akimkwepa kwa kuwa ana jamaa mwingine.
Alipobanwa Shilole juu ya kugandwa huko na wanaume, alisema hamjui huyo Mnigeria ila akasema huenda kweli akawepo kwani yeye ana nyota ya kupendwa. “Mh! Makubwa, simjui mimi ila tatizo ni nyota,” alisema Shilole kwa kifup