MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Mar 15, 2016

January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli

 .january akiwa mbele ya mti unao itwa ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM mti huu niwa ajabu nawa kipekee maana mizizi yake ni mipana na  inaota kwenda juu kama ukuta.

 Mh.January akijisijali kwenye kitabu cha wageni.

 Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai

 mti unao itwa ENTANDROPHRAGMA EXCELSUM mti huu niwa ajabu nawa kipekee maana mizizi yake ni mipana na  inaota kwenda juu kama ukuta.

 Bwana Saidi Kiparu akitoa maelezo kuhusu baadhi ya mimea ipatikanayo katika hifadhi ya msitu mazumbai
 Msitu wa mazumbai

 January akisalimia na mwenyeji wake Bwana Saidi Kiparu mala baada ya kuwasili  ofisini kwake


 January akiendelea kujifunza  ndani ya msitu na Maneja wa Msitu wa mazumbai Bwana Saidi Kiparu.
Akiwa Jimboni Bumbuli mheshimiwa January Makamba ametembelea Msitu wa Mazumbai ulioko Jimaboni kwake bumbuli,  msitu huu umehifaziwa na serikali chini ya chuo kikuu cha sokoine kwa ajiri ya watu kwenda kujifunza .
   Msitu wa mazumbai unasifa nyingi sana za kipekee kwanza ni kati ya misitu michache ambayo haija athiriwa na shuguri za kibinadamu na hii inatokana na ulinzi na ufadhi mzuri wa chuo cha sokoine vilevile msitu huu una aina nyingi za mimea kuliko aina za mimea iliyopo  western EUROPE (ulaya magharibi)

**PICHA ZOTE  NA  IMANI SELEMANI NSAMILA