Kaimu
ofisa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wadogo wa Benki ya NMB, Abdulmajid
Nsekela akizungumza kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na benki
hiyo kwa wateja katika mkutano mkuu wa nane wa mwaka 2015 wa wanachama
wa mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa (LAPF) jijini Arusha, juzi.
Pamoja na wasilisho hilo, pia NMB ilizindua akaunti maalumu kwa ajili ya
kukopesha wanachama wapya wa mfuko huo fedha kwa ajili ya kuanzia
maisha.