Mwanamuziki wa Bongo Fleva Fulgency Mapunda maarufu Mwana Cotide
amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
Salaam kwa tuhuma za kuimba na kusambaza wimbo wenye maudhui ya
kichochezi.
Mwana Cotide ameiamba wimbo wenye jina “Dikteta Uchwara” ambao
aliusambaza kupitia mtandao wa YouTube kitu ambacho kinavunja sheria ya
makosa ya mitandao