Washiriki wa mashindano ya wazi ya kuogelea Tanzania yaliyofanyika
katika Bwawa la Skuli ya Kimataifa Zanzibar (Zanzibar International School)
iliyopo Mazizini wakiwa tayari kuanza mashindano hayo.
Washiriki wa mashindano ya wazi ya kuogelea Tanzania yaliyofanyika
katika Bwawa la Skuli ya Kimataifa Zanzibar (Zanzibar International School)
iliyopo Mazizini wakiwa tayari kuanza mashindano hayo.
Muogeleaji Natalie Sanford Charlotte mwenye umri wa miaka tisa kutoka Morogoro
International School alieshiriki michezo nane na kunyakuwa medali sita za
dhahabu na mbili za fedha akiwaongoza wenzake na kuwa mshindi wa kwanza kwa
upande wa watoto. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
Mgeni rasmi wa mashindano ya wazi ya kuogelea Tanzania yaliyofanyika tarehe 8
na 9 mwezi huu, Khamis Abdalla ambae ni Katibu wa Baraza la Taifa la Michezo
Zanzibar akifuatilia mashindano hayo.
Waogeleaji wa kigeni walioshiriki mashindano ya kuogelea ya wazi Tanzania
yaliyofanyika Zanziba wakichuuano vikali katika mtindo wa back stroke huku
wakiwaacha kwa mbali waogeleaji wazalendo.
Muogeleaji bingwa wa mashindano ya wazi ya kuogelea Tanzania kwa upande wa
watoto Natalie Sanford Charlotte akivishwa moja ya nishani ya dhahabu aliyonyakuwa
katika mashindano hayo. Picha zote na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.