Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu,
yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiyoamini
uwepo wa Mungu (Atheism).
1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya wapagani, huku asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku asilimia 30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.
4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu wasioamini kwamba Mungu yupo.