KWANINI PAKA HUTUMIKA
katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni
kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe
kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana
kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote
nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi,
mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa
siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona
umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati
kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa
kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana
hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana
wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana
ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine
hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona
majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa
katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa
anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta
kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA ...hao
wanaouwezo wa kumwona mchawi...hakikisha unawatumia wanyama wako
kukurinda kwa kusikiliza milio yao.