Wakwanza mbele kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel jacksonm Mmbando na ofisa masoko wa Airtel Mwanza Bw Ally Mashauri wakimsikiliza bw,Rashid Moshi mmoja wa wauzaji na mvuvi wa samaki katika soko la kimataifa la Samaki Mwaloni Kirumba Mwanza leo wakati ambapo Airtel walitembelea sokoni hapo na kuzungumza na wateja wao jinsi huduma ya Airtel Hakatwi mtu inavyowafaidisha kufanya biashara zao za kuuza na kununua samaki kupitia airtel money bila makato- Hakatwi mtu hapa.
kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando na kulia ni Ofisa Masoko wa kanda ya ziwa Bw Ally Mashauri wakimkabidhi vitendea kazi vya uwakala Bw, Innocent Godwin (kati) anaefanya uwakala ndani ya soko la samaki la kimataifa Mwaloni Kirumba Mwanza leo wakati ambapo airtel walitembelea sokoni hapo kujionea jinsi wauzaji na wanunuzi wa samaki wanavyoitumia huduma yao ya kutuma na kutoa pesa bila makato wanapokuwa kwenye biashara zao-hakatwi mtu hapa.