KEKUU MWANAMZIKI WA HI HOP BONGO
KEKUU AKIWA NA KUNDI ZIMA LA WAKALI KWANZA
MAKAMUA NA JOSLINE
KEKUU
KEKUU
Kekuu ni mwanadada anaefanya vizuri zaidi katika anga za mziki hivi karibuni mwanadada huyo ametoa single yake kali inayokwenda kwa jina WASHA A/C yaani akimaanisha watu wametinga club na dj kabamba ngoma zaid mpaka watu joto limewazidi kiukweli mwanadada huyo tayari ameisha record baadhi ya ngoma zake zikiwemo
PRESHA INAPANDA
, UNATAKA KUWA NANI,
NJOO,
WASHA A/C
PRESHA INAPANDA
, UNATAKA KUWA NANI,
NJOO,
WASHA A/C
na nyingine kibao amefanya na kundi zima la wakali kwanza hivi karibuni mtaanza kuziona video zake na video alizo fanya akiwa na kundi la wakali kwanza,
BIG UP KEKUU WAKILISHA HIP HOP TANZANIA