Hali ilivyo kwa sasa mji wa Iringa baada ya polisi kuzuia magari yote katika barabara kuu kusubiri msafara wa makamu wa rais wa Tanzania kupita kutoka mkoani Njombe ambako amekwenda jana katika mazishi ya askofu mstaafu wa RC Njombe