Jumla washiriki 14 waliwasili kambini tangu ijumaa iliopita katika hoteli ya JB Belmont iwako katika mazoezi makali kujinoa na mchuano wa kuwania taji la uanamitindo bora wa mwaka 2013. Wanamitindo hao wako na hali ya mashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva kimazoezi