gari la kampuni ya coca cola jijini mwanza lililoteketea
gari la coca cola likiwa limeteketea leo mapema
leo mapema gari la soda la coca cola limeteketa baada ya dereva wa boda boda kujaribu kuli over take loli hilo la soda na ndipo alikoswa uwezekano wa kulipita gari hili na kusababisha ajali leomapema baada ya bodaboda kuwaka moto ikapelekea gari hilo la soada kushika moto kwa haraka baada ya mafuta ya pikipiki kumwagika na kusababisha kifo cha abiria aliyekuwa amepakiwa kwenye pikipiki hiyo moto mkali ilizidi kuwaka na kusababisha madhara mengine ya jengo la benk ya crdb kupasuka vioo na watu kujaa hadi pale kikosi cha zima moto kilipowasili kuja kuzuia moto huo