Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kuhojiwa zaidi ya saa moja na nusu na Kamati Ndogo ya Maadili.
Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akitoka nje ya jengo baada ya kuhojiwa na kamadi ndogo ya maadili