Habari Mdau ,
popote pale ulipo karibu kushiriki shindano la kumtafuta mchekeshaji wa jukwaani ( stand -up comedy) na wa maigizo
Mshindi atapata nafasi ya kujiunga na team ya #Wasakatongetz
Basi Njoo wewe na mwenzako bila ya kukosa
ni Ijumaa ya tarehe 10 , ndani ya Uwanja wa ndani wa taifa ( Indoor ) kuanzia saa mbili asubuhi mpaka 12 Jioni
********HAKUNA KIINGILIO***********
Wasakatonge ni Zaidi ya comedi
AzamTV Burudani kwa wote