Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Walimu na Wanafunzi katika Sherehe za Miaka 50 ya Elimu
bila malipo zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini
Unguja .
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi kombe Msaidizi Afisa Elimu Mkoa wa Kaskazini Unguja Maulid
Nafasi Juma wakati wa Sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo
zilizofanyika kitaifa katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria katika sherehe za miaka 50 ya Elimu bila
Malipo zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium na mgeni rasmi
alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein.
Baadhi
ya walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Walimu,
Wazee,Wanafunzi katika sherehe za kilele cha miaka 50 ya Elimu bila
Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Wanafunzi
wenye ulemavu tofauti wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa maandano
wakati wa sherehe za miaka 50 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika katika
uwanja wa amaan Studium.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwapungia mkono wanafunzi waliopita mbele ya jukwaa la viongozi katika
uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar wakati wa sherehe za kilele cha
miaka 50 ya Elimu bila Malipo zilizofanyika leo.
Walimu
na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA wakipita mbele ya mgeni rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein wakati wa maandamo ya kusherehekea kilele cha miaka 50 ya Elimu
bila malipo ilizofanyika katika uwanja wa amaan Studium.
Wanafunzi
wa Chuo cha Ufundi JKU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akipokea maandamano ya wanafunzi wa skuli mbali mbali za Unguja na Pemba
katika sherehe za miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa
katika uwanja wa Amaan Studium leo.
Wanafunzi
wa Skuli ya wanawake ya Al- Ihsaan ya Magogoni Jitmai wakipita mbele ya
mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya wanafunzi wa skuli
mbali mbali za Unguja na Pemba katika sherehe za miaka 50 ya Elimu bila
malipo zilizofanyika kitaifa katika uwanja wa Amaan Studium leo.
Baadhi
ya wanafunzi wa Skuli mbli mbli za Sekondari wakiwa katika jukwaa
wakati wa sherehe za Miaka 50 ya Elimu bila malipo zilizofanyika kitaifa
katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]