Sep 24, 2014
Picha: Utambulisho wa Yamoto Band wilaya ya Temeke ilikuwa nomaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
Chege na Temba
Weekend iliyopita, Mkubwa na Wanawe walikuwa wakitambulisha bendi yao (Yamoto Band) katika wilaya yao ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye viwanja vya Dar Live. Hizi ni picha za tukio hilo.
<img src="http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Wema-Sepetu-akiwasalimia-mashabiki-walio-fika.jpg" alt="Wema Sepetu akiwasalimia mashabiki walio fika" width="759" height="506" class="alignnone size-full wp-image-