Mradi wa
nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village
umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
inategemea umeanza hivi karibuni.
Akiongea na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo
Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village alisema “Kwa sasa ujenzi unaendelea
na karibu aina ya nyumba apartment 3000 zitakuwa tayari ifikapo Januari
2015.
Aliongezea
kusema kwamba kupitia mradi huu waTanzania watanufaika kwa kupata ajira
na pia kuwa na huduma kama hospitali, shule, maduka eneo la Kigamboni.
Mradi huu
unajengwa kwenye eneo takriban eka 300 na kampuni hiyo imewekeza zaidi
ya dola milioni 350. Kwa ujumla nyumba aina ya villa ziko 300 na
apartment ziko 7400. Mradi huu utakamilika mwaka 2018. Apartment
zitakamilika mwaka 2017 na villa mwaka 2018.
Ndani ya mji
huu wa Dege Eco-Village wa kazi hawatahitaji kwenda popote kwasababu
kila kitu kitakuwepo kama shule za watoto, kituo cha polisi, hospitali,
supermarket, na kadhalika.
Wafanyakazi wa Dege Eco - Village wakiwahudumia wateja wao waliofika katika banda lao. |
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege eco-Village akibadilishana mawazo na mfanyakazi mwenzake. |
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege Eco-Village akiongea na mteja ambaye alikuwa akiweka kumbukumbu katika daftari la wageni waliofika banda la Dege Eco - Village ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege Eco-Village akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. |
Wafanyakazi wa Dege Eco-Village wakiwa katika picha ya pamoja. |
Wananchi wakionyeshwa mpangilio wa nyumba utakavyokuwa. |
Ufafanuzi ndani ya banda la Dege Eco-Village. |
Muonekano wa banda la Dege Eco-Village. |
Muonekano wa banda la Dege Eco-Village. |
Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Dege Eco -Village Bw. Adam akiongea na waandishi wa habari kufafanua jambo. |
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa Dege Eco-Village akibadilishana mawazo na wateja waliofika katika banda lao |