Msanii maarufu wa komedi nchini Uganda Anne Kansiime amefanikiwa
kumuachisha kazi mume wake Gerald Ojok na kumuajiri kama meneja wake wa
ndani ya nchi huku Johnson Majungu kutoka Uingereza ataendelea kuwa
meneja wake wakimataifa.Ripoti zinaeleza kuwa Ojok atakuwa akilipwa
kitita cha hela ambacho nikikubwa ukilinganisha na alichokuwa anapata
akiwa kama mkufunzi kwenye chuo kikuu cha Kyambo.
Kitendo hicho kinaashiria jambo jema kwa wanandoa hao wachanga kwani watakuwa na mda mrefu wakufanya kazi pamoja huku wakiimarisha ndoa yao.
Kitendo hicho kinaashiria jambo jema kwa wanandoa hao wachanga kwani watakuwa na mda mrefu wakufanya kazi pamoja huku wakiimarisha ndoa yao.