Mtoto Ramadhan Nuru (11) Mkazi wa Mtaa wa Kabuhoro Kirumba. |
Septemba 14 mwaka huu.
Mara ya
Mwisho mtoto huyo mwenye jinsia ya Kiume alikuwa amevaa shati la drafuti lenye mikono
mifupi likiwa na rangi nyeupe, na suruali yenye rangi ya ugoro pamoja na viatu
vyenye rangi nyeusi.
Kwa yoyote
atakae bahatika kumuona mtoto huyo anaombwa kutoa taarifa katika kituo chochote
cha polisi kilicho karibu nae au awasiliane na baba wa mtoto huyo Nuru Barongo
ama kaka zake na Mtoto huyo Amadi Amada na Mbaraka Nuru kwa nambari za simu 0688
27 22 28, 0683 59 58 25, 0768 42 39 74 na 0759 16 18 99.
Tafadhari
unaombwa kutoa ushirikiano wako pindi utakapomuona mtoto huyo hususani maeneo
ya Jijini Mwanza ambako inasadikiwa kwamba mtoto huyo ametolokea.