Kura zilizokuwa zikihitajika kupata ushindi ni
1,852,828. Waziri wa kwanza wa Scotland, Alex Salmond aliyekuwa akipigia debe kujitenga kwa nchi hiyo, amesema amekubali kushindwa.
Hizi ni baadhi ya picha za wananchi waliofurahia uamuzi huo.
Hizi ni baadhi ya picha za wale waliosononeshwa na uamuzi huo.