
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika
mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya
"USIKU WA JAKAYA"
iliyoandaliwa na jumuiya ya Watanzania DMV.

Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia

Karibu Washington DC Mheshimiwa

Rais akiendelea kusalimiana na wafanyakazi wa ubalozini

Mapokezi yakiendelea

Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Lucas Mkama wa Vijimambo Blog

Karibu sana Mzee..