Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe
Jean Uku Commercial Manager akiwa anaongea na wateja wa Fastjet
Kushoto ni Jean Uku Commercial Manager wa Fastjet na Jimy Kibati General Manager wa Fastjet wakizindua Rasmi safari za Kwenda Entebe kutokea Dar es Salaam Wageni wakikaribishwa katika Ndege ya Fastjet kutokea Dar kwenda Entebe Timu nzima ya Fastjet Baada ya sherehe fupi za uzinduzi huo
Ndege kati ya miji hii mikuu miwili
zitaruka siku za Jumanne na Alhamisi kwa wiki za kwanza za mwezi
Septemba na zinatarajiwa kuongezwa hadi mara nne kwa wiki kuanzia tarehe
29 Septemba.
Entebbe inakuwa kituo cha nne cha kimataifa
kwa Fastjet ukitoa Harare, Johanesburg na Lusaka. Mwelekeo huu mpya
utapaisha ndege za moja kwa moja kati ya Entebbe na Dar es salaam kwa
bei murua kabisa ukilinganisha na mashirika mengine ya ndege ambayo
hutoa huduma zisizo za moja kwa moja kati ya miji hii mikubwa miwili.
Tiketi za safari hii zinapatikana kupitia www.fastjet.com kwa bei ya chini kabisa ya kuanzia Tshs. 80,000/= kwa safari moja (bila kodi).