Hatimaye msanii wa kimataifa anayetarajiwa kutumbuiza kwenye Fiesta ya Dar mwezi ujao ametajwa, ni rapper Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I wa Marekani. T.I atashare jukwaa na wasanii wa Bongo katika show ya mwisho ya msimu wa Serengeti Fiesta 2014, itakayofanyika kwenye viwanja vya Leaders October 18.
T.I kwa sasa anafanya vizuri na single yake mpya ‘No Mediocre’ aliyomshirikisha Iggy Azalea