Habari ya mwana imeishia wapi?
Tupeni Update yupo wapi? Show Wapi? Anapanga kufly kwenda kufanya show nchi ipi na ipi?
Eti jamani vitu kama hivyo, hata kama ni Udaku wa uongo nyie tuleteeni tuu Tumpe Kick, acheni kumdrop down mtu wenu Jamani
CHANZO UDAKU SPECIAL